Home Music VIDEO: Calvin john – Salama | Download

VIDEO: Calvin john – Salama | Download

VIDEO: Calvin john - Salama | Download

Kwa mara nyingine tena kutoka jijini Dar es salaam leo tumekudondoshea video mpya ya wimbo unaoitwa SALAMA kutoka kwa mkali wa sauti za Ki-injili Calvin John.

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa na kuguswa kwa namna ya pekee, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Calvin John wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 676 154 912
Facebook: Calvin John
Instagram: @calvinjohn_official
Youtube: Calvin John

The post VIDEO: Calvin john – Salama | Download appeared first on Gospo Media.