Home Music VIDEO: Mathias Walichupa – Navumilia | Download

VIDEO: Mathias Walichupa – Navumilia | Download

VIDEO: Mathias Walichupa - Navumilia | Download

Kwa mara nyingine tena kutoka Tanzania tumeisogeza kwako video mpya ya wimbo unaoitwa Navumilia kutoka kwa mkali wa sauti Mathias Walichupa.

“Navumilia ni wimbo unaoweza ukainua imani yako juu ya uvumilivu wa jambo unalopitia wakati huu huku ukiamini utashinda na Mungu atakushindia. Waweza share Kazi hii kwa ndugu na rafiki kadili uwezavyo na Mungu akubariki.” – Mathias Walichupa alisema

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Mathias Walichupa wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 757 255 858
Facebook: Mathias Walichupa
Instagram: @mathiawalichupa
Youtube: Mathias Walichupa

The post VIDEO: Mathias Walichupa – Navumilia | Download appeared first on Gospo Media.