Home Music VIDEO: Prisca Sanga – Wonderful God | Download

VIDEO: Prisca Sanga – Wonderful God | Download

VIDEO: Prisca Sanga - Wonderful God | Download

Kutoka Tanzania leo tumekusogezea video mpya ya wimbo unaoitwa Wonderful God kutoka kwa mwimbaji Prisca Sanga.

“Wonderful God ni wimbo unaoadhimisha ukuu wa MUNGU. Yohana 12:32 Nami nikiinuliwa juu ya nchi, nitawavuta wote kwangu. Sisi kama wanadamu ni jukumu letu kumuinua, kumwabudu, kumsifu na mengine yote ili MUNGU atuvute wote kwake. Maisha yetu na kila kitu chetu kiwe na nia ya kumuinua MUNGU. Hata tukipita kwenye Magumu asikike MUNGU zaidi ya yale magumu tunayoyapitia, Tumtaje MUNGU zaidi ya shida na taabu zetu, Kwa kufanya hivyo wote tutavutwa kwake.” – Prisca Sanga alisema

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri ambao ni hakika kuwa utakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Prisca Sanga kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 625 744 517
Facebook: Prisca Sanga
Instagram: @priscasanga
Youtube: Prisca Sanga

The post VIDEO: Prisca Sanga – Wonderful God | Download appeared first on Gospo Media.